Follow Us On

IMG 6364 IMG 6365twitterlogo 1x  g   whatsaap linkedin  bgHW95LC

 new iconTENDERS         new iconVACANCIES         ENTRANCE FEE     REGULATIONS

1531477261159connectOnline SAFARI Portal

tz1

DSC 7277

Hivi ndivyo maandamano ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro yalivyoingia ndani ya uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha na kuelekea kupita mbele ya mgeni rasmi ambae ni mkuu wa mkoa wa Arusha Mheshimiwa Mrisho Gambo katika kusherehekea siku ya wafanyakazi Duniani. Wafanyakazi wamependeza kweli kweli. Pia mvua zinazoendelea kunyesha zimekuwa ni sehemu ya mapambo katika sherehe hizi.