Follow Us On

IMG 6364 IMG 6365twitterlogo 1x  g   whatsaap linkedin  bgHW95LC

 new iconTENDERS         new iconVACANCIES         ENTRANCE FEE     REGULATIONS

1531477261159connectOnline SAFARI Portal

tz1

8DA11DEA-C0F8-4217-A4D4-3CA1EC83F5DE

miti-day

Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro kama Mdau mkubwa wa utoaji wa miche ya miti na elimu ya Uhifadhi Wameshiriki katika Maadhimisho ya siku ya Upandaji miti Mkoa wa Arusha yenye kauli mbiu "TANZANIA YA KIJANI INAWEZEKANA PANDA MITI KWA MAENDELEO YA VIWANDA" shughuli hii imefanyika Kata ya  Selela wilayani Monduli, Mgeni rasmi akiwa MHE. Mrisho Gambo Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwakilishwa na mkuu wa wilaya ya Karatu MHE. Theresia J. Mahongo leo Tarehe 06/04/2018.