Follow Us On

IMG 6364 IMG 6365twitterlogo 1x  g   whatsaap linkedin  bgHW95LC

 new iconTENDERS         new iconVACANCIES         ENTRANCE FEE     REGULATIONS

1531477261159connectOnline SAFARI Portal

tz1

board-9

board-3

Tarehe; 29/01/2018 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dkt. Hamisi Kigwangala akizungumza na wajumbe wa Bodi mpya ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) alipokuwa akizindua rasmi shughuli za bodi hiyo mjini Arusha, kushoto ni Mhifadhi Mkuu wa NCAA na Katibu wa Bodi hiyo Dk. Freddy Manongi na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi Professa Abiud Kaswamila.

DSC 9843 Fotor

Tarehe; 24/01/2018 Wahandisi wa Utalii wa Miamba kutoka Serikali ya China wametembelea Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro na kuongea na Mhifadhi mkuu Dr. Freddy Manongi, lengo la ziara hii ni kwa ajili ya kudumisha ushirikiano pamoja na kusaidia kuendeleza shughuli za Utalii wa Miamba, Wameahidi kutoa msaada wa fedha za kimarekani dola milioni 15 sawa na Shilingi bilioni 33 kwa pesa ya kitanzania ili kuboresha vivutio vya Utalii wa Miamba pamoja na kusaidia ujenzi wa makumbusho mpya na yakisasa (Geology Museum) itakayo ongeza idadi ya watalii wa miamba nchini na kuwajengea uwezo wa Uhifadhi na utendaji katika eneo la Miamba, tayari Mamlaka ya Ngorongoro imesaini mkataba wa mashirikiano na Geoparks nne zilizopo nchini China.Mradi huu unafadhiliwa na Chinese Geological Scientists.Katika ziara hio wameambatana na Katibu Mkuu Wizara ya biashara nchini China pamoja Msaidizi wa Balozi wa China nchini Tanzania upande wa bishara na misaada.