Follow Us On

IMG 6364 IMG 6365twitterlogo 1x  g   whatsaap linkedin  bgHW95LC

 new iconTENDERS         new iconVACANCIES         ENTRANCE FEE     REGULATIONS

1531477261159connectOnline SAFARI Portal

tz1

Waombaji kazi walioitwa kwenye usaili wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kwa kada za Dereva, ICT officer, Plant Operetor na Protection Orepator wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo. Waombaji kazi wa kada ya Dereva watakuwa na usaili wa mchujo tarehe 03/02/2018, usaili wa vitendo (Practical) itakuwa tarehe 05/02/2018 na usaili wa mahojiano (Oral Interview) itakuwa tarehe 06/02/2018. Aidha, kwa kada za ICT Officer II na Plant Operator wanaarifiwa kuwa hawatakua na usaili wa mchujo tarehe 03/02/2018 badala yake kada hizo watakuwa na usaili wa Vitendo (Practical) tarehe 05/02/2018, baada ya hapo na usaili wa Mahojiano kwa kada ya ICT Officer itakuwa tarehe 06/02/2018 na usaili wa mahojiano kwa kada ya Plant Operator itakuwa tarehe 07/02/2018. Kada za Assistant Technician Civil na Assistant Technician Automobile hawatakua na usaili wa Mchujo tarehe 03/02/2018 badala yake watafanya usaili wa mahojiano pekee tarehe 07/02/2018. Vilevile, kada ya Protection Assistant, watakua na Usaili wa mchujo Tarehe 03/02/2018, usaili wa vitendo tarehe 05/02/2018 na usaili wa mahojiano tarehe 08/02/2018. Kwa waombaji kazi wa kada hizo mnasisitizwa kuzingatia marekebisho hayo.

bonyeza hapa ili kupakua.....ATTACH

 

 ATTACHbonyeza hapa.....

(shortlisted candidates)

 -------------------------------------------------------------------------- 

IMG 7317

Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Prof. Abiud Kaswamila leo amefanya ziara yake ya kwanza ndani ya eneo la hifadhi ya Ngorongoro na kuongea na Menejimenti pamoja na wafanyakazi wa Mamlaka. Mwenyekiti alipata fursa ya kutembelea kitalu cha  miche ya asili na kisasa kilichopo Kamyn Estate na kupokea maelezo muhimu kutoka kwa mtaalamu wa huduma za misitu Bw. Naaman Naaman juu ya mchango mkubwa wa kitalu hicho katika uhifadhi wa eneo la Ngorongoro, maeneo jirani yanayo pakana na Hifadhi na Mkoa kwa ujumla.