new icon-TANGAZO LA NAFASI YA KAZI MAMLAKA YA HIFADHI ENEO LA NGORONGORO NAFASI YA MENEJA MAENDELEO YA JAMIIATTACH

TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA YA "PROTECTION ASSISTANT II"ATTACH

-TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA MBALIMBALI MAMLAKA YA HIFADHI NGORONGOROATTACH

-Matokeo ya USAILI wa VITENDO (PRACTICAL) wa DEREVA II na ICT OFFICER II-Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro.

 

-Matokeo ya Usaili wa MCHUJO uliofanyika tarehe 03 February 2018

 

Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro inawataarifu waombaji wa nafasi mbalimbali za kazi zilizotangazwa tarehe 14 Desemba, 2017 na tarehe 15 Desemba, 2017 kupitia gazeti la Daily News, Habari Leo na Mwananchi kuwa watembelee tovuti ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma  http://www.ajira.go.tz/ tovuti ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro http://ncaa.go.tz/  kupata orodha ya waombaji waliokidhi vigezo vya kuitwa kwenye usaili (shortlisted candidates) pamoja na ratiba ya zoezi la usaili.

ATTACHbonyeza hapa ili kupakua....

 

Waombajikazi walioitwa kwenye usaili wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kwa kada za Dereva, ICT officer, Plant Operetor na Protection Orepator wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo. Waombaji kazi wa kada ya Dereva watakuwa na usaili wa mchujo tarehe 03/02/2018, usaili wa vitendo (Practical) itakuwa tarehe 05/02/2018 na usaili wa mahojiano (Oral Interview) itakuwa tarehe 06/02/2018. Aidha, kwa kada za ICT Officer II na Plant Operator wanaarifiwa kuwa hawatakua na usaili wa mchujo tarehe 03/02/2018 badala yake kada hizo watakuwa na usaili wa Vitendo (Practical) tarehe 05/02/2018, baada ya hapo na usaili wa Mahojiano kwa kada ya ICT Officer itakuwa tarehe 06/02/2018 na usaili wa mahojiano kwa kada ya Plant Operator itakuwa tarehe 07/02/2018. Kada za Assistant Technician Civil na Assistant Technician Automobile hawatakua na usaili wa Mchujo tarehe 03/02/2018 badala yake watafanya usaili wa mahojiano pekee tarehe 07/02/2018. Vilevile, kada ya Protection Assistant, watakua na Usaili wa mchujo Tarehe 03/02/2018, usaili wa vitendo tarehe 05/02/2018 na usaili wa mahojiano tarehe 08/02/2018. Kwa waombaji kazi wa kada hizo mnasisitizwa kuzingatia marekebisho hayo.

ATTACHbonyeza hapa ili kupakua.....