News

​✷✷MIAKA 60 YA UGUNDUZI WA FUVU LA ZAMADAMU (1959-2019), 22 JULAI 2019✷✷

​✷✷MIAKA 60 YA UGUNDUZI WA FUVU LA ZAMADAMU (1959-2019), 22 JULAI 2019✷✷
Jul, 08 2019

MIAKA 60 YA UGUNDUZI WA FUVU LA ZAMADAMU (1959-2019)

Wizara ya Maliasilli na Utalii kupitia taasisi zake za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Makumbusho ya Taifa na Idara ya Mambo ya Kale itaadhimisha miaka 60 ya ugunduzi wa fuvu la zamadamu (Zinjanthropus boisei). Maadhimisho hayo yatafanyika Olduvai tarehe 22/07/2019.

OFA imetolewa kwa Watanzania kuingia Ngorongoro na kutembelea Olduvai, OFA itaanza tarehe 1707/2019 hadi tarehe 22/07/2019. Watu wazima ni shilingi 30,000/- na watoto ni shilingi 15,000/-. Gharama inajumuisha kiingilio, chakula cha mchana na usafiri wa kutoka na kurudi Karatu mjini.

Kujiandikisha ni kwenye ofisi za maelezo za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro zilizopo Karatu mjini na katika Jengo la Ngorongoro refu kuliko yote jijini Arusha.

Kujiandikisha piga simu:

0786 440 040 / 0683 066 720